Pages

December 18, 2011

KAMPUNI YA STEPS ENTERTAINMENT YAFUNGA MWAKA KWA KUWAKUMBUKA WASANII WA BONGO MOVIES

 
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.
 
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Stevin Jacob 'Jb'' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii, Sebastian Mwanangulo ' Ispekta Seba' cha kutambua kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti  Msanii,Richie cha kutambua kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji  ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo
Msanii, Jimmy Mponda(kushoto)akisalimiana na Msanii, Sebastian Mwanangulo kwenye hafla hiyo
Msanii, Jimmy Mponda(kushoto) na Msanii, Sebastian Mwanangulo wakibadilishana mawazo na wadau mbalimbali
Wasanii Mbalimbali Wa Bongo Movies Wakiwa kwenye Picha ya Pamoja Kwenye sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini.Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...