Pages

February 6, 2012

Send off ya Maimartha


Sherehe ya Send Off ya Mtangazaji wa runinga, Maimartha Jesse imefanyika Ijumaa Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali.

Katika kuongezea ladha, Sherehe ya Send Off ya mtangazaji huyo wa luninga ilihudhuriwa pia na malkia taarab, Hadija Koppa, ambaye  alitoa burudani ya Kutosha.


Sendoff hii iliandaliwa Bw. na Bibi Raymond Dennis Mushi wa Boko, Dar es Salaam ambao ni familia ya mwanadada huyu maarufu katika tasnia ya burudani nchini Tanzania.


Nasaka picha niwape muone... 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...