Wasatara akiwa na mwanae na baadhi ya watoto walio hudhuria Maulid hiyo
Sajuki akiwa amembeba mwanae
Irene Uwoya akiwa amempakata mtoto
Sajuki akiwa na wasanii Rachel, Odama na mtoto wake
Baadhi ya wasani wakiwa wamembeba mtoto
Maulid ikiendelea
Wadu mbali mbali walijitokeza katika Maulid hiyo
Baadhi ya Bongo movie family katika picha ya pamoja na Sajuki, Wastara na mtoto wao.
Picha kwa hisani ya Raythegreatest & Odama 1 Blogs & Jestina- George
Picha kwa hisani ya Raythegreatest & Odama 1 Blogs & Jestina- George







No comments:
Post a Comment