Pages

April 15, 2012

TV PRESENTER SAUDA MWILIMA AOLEWA WEEKEND HII NA KAULI JUMA 'BEST'  Mtangazazi wa Star TV Sauda Mwilima na mumewe KAuli Juma 'Best' baada ya kufunga ndoa jana katika ukumbi wa Catch uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.Baadaye kulifuatiwa na sherehe ktk ukumbi wa Msasani Beach

 Mdau, Penny, Dida na mama Penny

 Penny, Sinta na Sakina Lyoka


 Maharusi wakiingia ktk ukumbi wa Msasani Beach kwa sherehe ya Harusi yao

 Ukiondoa Bestman na Matron, pia Maharusi walisimamiwa au walipambwa na vijana wa4 watanashati mjini wanaume na wanawake kutoka kushoto Martin, Diamond, Ommy Dimpoz na mwingine mwisho kulia

 Sinta akisalimiana na MC wa harusi hiyo Steve Nyerere
Rachel,Dida,Martin Kadinda Wakifungua Champagne.

Matron Dida akiwamiminia Champagne Maharusi.
Ninyweshe nikunyweshe ndio ishara ya upendo.

 Wema na rafiki yakekulia ni Godwin Gondwe
     
Mc wa shughuli Steve nyerere kulia. 

wasimamizi walikuwa from the left Ombeni Phiri, Ommy Dimpoz, Diamond Platinumz and Martin Kadinda 


Wadau wa Ze Papparazzi tunawatakia kheri kwenye maisha haya mapya
picha kwa hisani ya dida mtikisiko

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...