Pages

September 23, 2012

PICHA 40 ZA USIKU WA MITINDO (MITINDO NIGHT), WAONE 'MAMODO' WALIVYOKONGA NYOYO ZA WATAZAMAJI MBALAMWEZI BEACH, USIPIME!!


MC katika maonyesho hayo alikuwa ni Ireene Tilya ambaye ni Mtangazaji wa Toneradio Mkuu wa Operesheni wa Tone Mult-Media Company Limited Sillas Mbuya
 Mtangazaji wa Toneradio Kid Bwoy
 Head of Corporate Affairs wa Tone Mult-Media Company Limited, Victor Luvena (kushoto) akiwa na Afisa Masoko wa Tone Harold Mwakasala wakati wa maonyesho ya mitindo ya mavazi yaliyofanyika Septemba 22, mwaka huu pale Mbalamwezi Beach.Wabunifu wa mavazi katika usiku wa mitindo uliofanyika Mbalamwezi beach walikuwa ni Diana Magese, Mitindonite iliwakilishwa na Ally, Amin, Wancy na Matrida, Bambo collection, Renee, Cocoriko, William Johnson, Veronica Ruhenzi-VS collection, Dorcas, Subira, Salim Ally, na Wavisa Collection.
Wengine ni Onfe collection, Baby Jullieth Collection na Hamidi Abdul collection. 
Maonyesho ya mitindo ya mavazi, yameandaliwa na Mitindonite Afrika na kudhaminiwa na Darling, Equity Bank, Tone Mult-Media Company Limted ambao ni wamiliki wa Tone radioBlogs za mikoa na Thisday Magazine, Secret Lengerie wauzaji wa nguo za ndani za wanawake, Amaya Beauty Solon & Spa, Better service, small axe, Qice photo sport, Real Burger, Fashion News, Pekuatanzania na Mdee Trans.
Blogzamikoa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...